nembo ya maziwa ya TANGA FRESH
PROTAS KIMARIO (SENIOR SALES OFFICER)
Mkusanyiko wa wateja Banda la Maziwa ya TANGA FRESH
Wafanya Biashara wa ndani wameonyesha kuyafurahia maonyesho ya Sabasaba na kuwaomba watanzania watumie bidhaa zinazozarishwa ndani na kupatikana kwa urahisi ndani ya nchi.Hayo yamesibitika katika kampuni ya TANGA FRESH LIMITED inayozalisha maziwa bora zaidi Tanzania.Afisa mauzo Ndugu Charles Fumbo amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi katika Banda lao hili kupata habari na bidhaa zao bora kabisa zenye viwango vya kimataifa.