Jumatatu, 30 Juni 2014

MAONYESHO YA SABASABA YANAZIDI KUENDELEA NA BIASHARA KUZIDI KUTANGAZWA.

Wakati Maonyesho ya Sabasaba yanaendelea katika viwanja vya Mw. Jurias Kambarage Nyerere(Sabsaba),Mkurugenzi wa Tan Trade ameendelea kuwasisitizia watanzania kuwa wabunifu wa biashara na kupunguza ushindani usio wa lazima wa ndani kwa kung'ang'ana na aina moja ya Biashara kama biashara ya Bar kila sehemu.

Maeneo ya ndani ya sabasaba

Wafanya biashara wa ndani Kampuni ya PROPERTY INTERNATIONAL LTD

Wafanya biashara wa ndani Kampuni ya PROPERTY INTERNATIONAL LTD

PROTAS KIMARIO (SENIOR SALES OFFICER)banda la Tanzania maziwa ya Tanga fresh

ndugu;Charles Fumbo banda(Marketing Manager) la Tanzania maziwa ya Tanga fresh

Ndugu;Godrick Ngoli(Afisa Mahusiano)Chuo kikuu cha mipango
Ndugu;Godrick Ngoli(Afisa Mahusiano)Chuo kikuu cha mipango

Bi;Teddy Alban Devis SMOKE HOUSE STORE for WINE,CHILL SOURCE,ROSELLA JUICE
Bi;Teddy Alban Devis SMOKE HOUSE STORE for WINE,CHILL SOURCE,ROSELLA JUICE

Banda la PSPF Ndugu Fredrick Mossi(Afisa uendeshaji wa mfuko wa PSPF)

Banda la PSPF Ndugu Fredrick Mossi(Afisa uendeshaji wa mfuko wa PSPF
Bendi ya Mjomba ya Mrisho Mpoto(mjomba)wakihamasiha juu ya MFUKO WA PSPF

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni