Wakati Maonyesho ya Sabasaba yanaendelea katika viwanja vya Mw. Jurias Kambarage Nyerere(Sabsaba),Mkurugenzi wa Tan Trade ameendelea kuwasisitizia watanzania kuwa wabunifu wa biashara na kupunguza ushindani usio wa lazima wa ndani kwa kung'ang'ana na aina moja ya Biashara kama biashara ya Bar kila sehemu.
Mkurugenzi wa TAN TRADE ndugu;Jacqueline Mneney Maleko Na kuhamasisha waandishi wa Habari wa media zote na mitandao kutoa ushirikiano na kuyatangaza maonyesho hayo ya kimataifa ya Biashara Tanzania.na kuwakaribisha watu wote tarehe 2/07/2014 siku ya Uzinduzi rasmi.
Maeneo ya ndani ya sabasaba
Wafanya biashara wa ndani Kampuni ya PROPERTY INTERNATIONAL LTD
Wafanya biashara wa ndani Kampuni ya PROPERTY INTERNATIONAL LTD
PROTAS KIMARIO (SENIOR SALES OFFICER)banda la Tanzania maziwa ya Tanga fresh
ndugu;Charles Fumbo banda(Marketing Manager) la Tanzania maziwa ya Tanga fresh
Ndugu;Godrick Ngoli(Afisa Mahusiano)Chuo kikuu cha mipango
Bi;Teddy Alban Devis SMOKE HOUSE STORE for WINE,CHILL SOURCE,ROSELLA JUICE
Banda la PSPF Ndugu Fredrick Mossi(Afisa uendeshaji wa mfuko wa PSPF)
Bendi ya Mjomba ya Mrisho Mpoto(mjomba)wakihamasiha juu ya MFUKO WA PSPF
0 comments:
Chapisha Maoni