Chuo cha ufundi VETA(Vocational Education AND Training authority)kimaamua kutoa elimu ili kuhamasisha jamii ya watanzania kujua umuhimu wa mafunzo ya Ufundi ili kukabiliana na janga la ajila kwa vijana Tanzania.Elimu hiyo ambayo ni muhimu inatolewa Bure ndani ya Banda lao Sabasaba na kusisitiza ni vyema kuudhuria ili kujua mengi kuhusu VETA.VETA wanatoa certificate na Diploma kwa mafunzo mbalimbali ya Ufundi na Wana matawi karibu kote TANZANIA.
Bi,DORA TESHA(public relation Officer) na ndugu,SITTA PETER(public relation Manager)
JENISIA MASWAYIA(AFISA MITIHANI NA VYETI)
MASHINE ZINAZOTENGEZWA VETA
BIDHAA ZA TEKNOLOJIA MPYA ZA VETA KWA AJILI YA MIFUGO MOROGORO VETA
TEKNOLOJIA MPYA ZA UMEME NA KIFUKUZA MBU ZINAZOTENGENEZWA VETA
BIDHAA ZA TEKNOLOJIA MPYA ZA VETA KWA AJILI YA MIFUGO MOROGORO VETA
0 comments:
Chapisha Maoni