Watanzania wametakiwa kutembelea mabanda ya wanyama pia ni moja ya kutangaza utalii wa ndani.Wahifadhi hao wa wanyama poli wamesema japo watanzania wengi kipato chao ni cha chini ila bado wana nafasi ya kutembelea sehemu za utaliii hususani mbuga za wanyama.Watanzania wameombwa kufuata utaratibu wanapokuwa katika mabanda ya wanyama.
baadhi ya wanyama ambao wapo sabasaba
Kitwala Omary(muhifadhi wanyama poli)
Abduli Juma(muhifadhi wanyama poli)
Daniel Gumbo(muhifadhi wanyama poli)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni