Jumatano, 2 Julai 2014

WATANZANIA WAHIMIZWA KUWEKEZA NDANI YA MFUKO WA HIFADHI WA NSSF

Jamii ya watanzania yahimizwa kuwekeza ndani ya mfuko wa jamii wa hifadhi wa NSSF ili kupata mafao ya vipindi mbalimbali kama ajali,elimu na uzeeni.Hiyo ni fursa pekee katika kujikomboa na maisha ya vipindi tofauti katika maisha ya Binadamu.Mfuko wa NSSF ni mfuko pekee ambao sasa unatoa fursa kwa watu wa rika zote na ni mfuko ambao umeonyesha kuinua maisha ya watanzania wengi hususan wastaafu wa kazi.Akiongea na mwandishi wetu wa blog Mkurugenzi wa NSSF amesema Watanzania inabidi wabadilike na kwenda na wakati kwa kujiwekea hifadhi kwa ajili ya maisha ya baadae.tutembelee banda la NSSF sabasaba

Mkurugenzi wa uendeshaji NSSF  ndugu:CRESCENTIUS MAGORI

Ramani ya mji ambazo NSSF wamewekeza

watu wakipata elimu ndani ya Banda la NSSF

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni