Kwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website www.jamboleo.co.tz
Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na
matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo linatolewa na kampuni ya
Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha Jarida la Jambo Brand
Tanzania, gazeti la michezo la kila wiki, Staa Spoti na gazeti la
matangazo la Dar Metro linalotoka kila baada ya wiki mbili.
NDANI YA MUDA MFUPI HATUTAAGIZA BIDHAA NJE YA NCHI:DKT. JAFO
-
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selamani Jafo ameeleza kuwa, ndani
ya muda mfupi hakutakuwa na haja ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kama
v...
Saa 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni