KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YATOA ZAWADI YA XMAS NA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA Unknown - 22:03 Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi mwanafunzi Alice Chacha anaeishi na kulelewa katika kituo cha yatima cha Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi Deogratius Hamisi zawadi ya vyakula kwa ajili ya Xmas na mwakas mpya zilizotolewa na kampuni hiyo kwa watoto yatima wa Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi Sister Oliva Paul zawadi ya vyakula kwa ajili ya Xmas na mwaka mpya zilizotolewa na kampuni hiyokwa watoto yatima wa Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Chapisha Maoni