SDM PRODUCTION MEDIA
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo
Alhamisi, 25 Desemba 2014
KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YATOA ZAWADI YA XMAS NA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi mwanafunzi Alice Chacha anaeishi na kulelewa katika kituo cha yatima cha Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi Deogratius Hamisi zawadi ya vyakula kwa ajili ya Xmas na mwakas mpya zilizotolewa na kampuni hiyo
kwa watoto yatima wa Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi Sister Oliva Paul zawadi ya vyakula kwa ajili ya Xmas na mwaka mpya zilizotolewa na kampuni hiyo
kwa watoto yatima wa Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni