Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia katika mji wa Morogoro jana.
Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Morogoro jana.
Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro jana.
Umati wa wananchi
Kiongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo Zitto Kabwe, akishiriki kuzika miili ya watu walioungua kwa moto uliotokana na ajali jana.
WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA UWT RUFIJI WAKUBALIANA OKTOBA WANATIKI KWA DKT
SAMIA
-
Mwenyekiti wa UWT wilayani Rufiji Rehema Mlawa ameongoza mkutano Mkuu wa
jumuiya hiyo na kuongoza upigaji wa kura za maoni za kupata Madiwani wa
viti ...
Saa 17 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni