SDM PRODUCTION MEDIA

Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo

Jumanne, 14 Aprili 2015

ZIARA YA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO NDANI YA MJI WA MOROGORO


 



 


to1
Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia katika mji wa Morogoro jana.to2Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Morogoro jana.to3Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro jana.to5Umati wa wananchi to6Kiongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo Zitto Kabwe, akishiriki kuzika miili ya watu walioungua kwa moto uliotokana na ajali jana.
Unknown at 03:41
Shiriki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Inaendeshwa na Blogger.

About Me

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili