KUTANA NA MKUU WA WILAYA MPYA WA MUFINDI, MBONI MHITA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kufanya uteuzi wa wakuu wa wilaya wapya macho ya watanzania wengi na mitandao ya jamii yametega jicho la kwa mkuu wa wilaya ya Mufindi Ndugu:MBONI MHITA na kuongelewa katika midahalo na mijadala mingi ya vijiweni na mitandao ya Jamii.

Katika hili kuna kitu cha kujifunza kama Mtanzania hasa hususan matumizi ya mitandao ya jamii na kupitia sifa za  uteuzi wake na pichaa zinazosemekana ni zake ndani ya mitandao ya jamii.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List