AJARI MBAYA YA BASI YATOKEA MAFINGA IRINGA

Name:  IMG-20150311-WA0022.jpg
Views: 0
Size:  63.4 KB
BREAKING NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana
Watu wapatao 20 wameripotiwa kufariki papo hapo mpaka muda huu baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na kontena!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List