Watanzania bado wakiwa katika hali ya furaha na matumaini ujio wa rais OBama wa Marekani akiwa katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere wa kimataifa jiji Dar es salaam akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Mungano Mhe Jakaya Mlisho Kikwete
WATANZANIA WAKIWA NA MATUMAINI YA KIUCHUMI NCHINI UJIO WA Obama nchini TANZANIA
-
00:42
0 comments:
Chapisha Maoni