MTEMVU AWAANDALIA HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU MARAFIKI ZAKE KUTOKA CHUO KIKUU CHA BUFFALO MAREKANI


 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) na Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Buffalo cha Marekani, Tyler Choi wakati wa hafla ya chakula cha usiki alichowaandalia marafiki zake hao  jana kwenye Hoteli ya Sea Cliff, Masaki Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mtemvu (wa tatu kulia) akiwa na baadhi ya wageni kutoka Chuo Kikuu cha Buffalo Marekani wakipata mlo wa usiku. Ujumbe huo umepangiwa kuonana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa na kutembelea baadhi ya shule na Hospitlai katika Jimbo la Temeke.
Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Ally 9kushoto) na wenzie wakipata mlo huo
Mtemvu akidadiliana jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya African Maraika, Fiona Barrelto (katikati)  na mkewe Mariam wakati wa hafla hiyo.
Mfanyakazi wa Hoteli ya Sea Cliff (katikati) akichangamsha hafla hiyo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Sea Cliff wakiiimba wimbo huku wakipiga makofi ikiwa ni moja ya sham rashamra ya hafla hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List