Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib
Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo
Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo
wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika
kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha
Tanzania. Katikati ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin,
akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mahsriki
(EACO) Hodge Semakula.
Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib
Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo
Februari 10, 2014 juu ya kukamilika kwa maandalizi ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF)
ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel,
Arusha Tanzania. Kulia ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin.
Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib
Gunze akifafanua zaidi juu ya Kongamano hilo 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF)
Katibu Mtendaji wa Commonwealth Telecommunications Organisation (CTO)
Prof. Tim Unwin, akizungumza na wanahabari wa jijini Arusha juu ya
kukamilika kwa maandalizi ya mkutano huo unaoanza Februari 11-14,
2014 katika hoteli ya Naura Spring Arusha.Kushoto ni Habbib Gunze,
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
na Kulia ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mashariki
(EACO), Hodge Semakula.
Katibu
Mtendaji wa Commonwealth Telecommunications Organisation (CTO) Prof.
Tim Unwin, akizungumza na wanahabari wa jijini Arusha juu ya kukamilika
kwa maandalizi ya mkutano huo unaoanza Februari 11-14, 2014 katika
hoteli ya Naura Spring Arusha.
Viongozi TCRA, CTO na EACO wakizungumza na wanahabari
0 comments:
Chapisha Maoni