PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS(IKULU):MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI NA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA.



 Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akisaliamiana na warembo hao baada ya kuwasili kwenye banda lao.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo jijini Mwanza.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB, wakiwa katika gari lao la 'Mobile Bank', katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo.
  Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Frontline, Irene Kiwia, wakati alipokutana nae katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa, lililoanza leo, jijini Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo alipotembelea katika Banda la Mjasiliamali Donatha Swai, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo, jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwasnza, Eng. Evarist Ndikilo.
 Makamu wa Rais, Dkt. Bilal akizungumza na Meneja wa Kanda wa Mtandao wa Airtel, Violet Gyumi na Meneja wa Benki ya Standard Chartered Tawi la Mwanza, (wa pili kulia) wakati alipokutana nao katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa, lililoanza leo, jijini Mwanza.
  Baadhi ya wakuu wa mikoa waliohudhuria Kongamano hilo....wakifurahia jambo kwa pamoja.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List