Mwenyekiti
wa Muda wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho
akiwashukuru wajumbe wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa.
Muonekano wa Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba wakati wajumbe wakisubiri kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa muda
Mchakato wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akifafanua jambo kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Mchungaji Christopher Mtikila akitoa maoni
yake baada ya uchagizi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
Kamati
ndogo ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba chini ya uongozi wa Mhe.
Pandu Ameir Kificho (kushoto). Kamati hii itakayoongozwa na Mhe. Costa
Mahalu na Mhe. Magdalena Rwebangula itafanya kazi ya kuichambua rasimu
ya Kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la Katib
Katibu
wa Bunge la Muungano Dk Thomas Kashilillah (kushoto) akimsikiliza
Mwenyekiti wa Muda Mhe. Pandu Kifico wakati Kamati maalum ya Kanuni
ilipokutana. Kamati hiyo inaundwa na wajumbe ishirini.Picha na Prosper
Minja - Bunge Maalum la Katiba
0 comments:
Chapisha Maoni