Mwenyekiti
wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Ameir Kifichoakisalimiana
na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba alipowasili katika ukumbi
wa Bunge leo Mjini Dodoma kushoto kwake ni Bw. Mohamed Mbwana, katikati
ni Rufai said Rufai na Kulia kwa Mwenyekiti ni Bw. Heri Khatibu.
Mjumbe
wa Bunge la Katiba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia na Naibu Waziri Wizara ya
Uchukuzi Charles Tizeba wakiwasili katika ukumbi wa Bunge leo Mjini
Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge la Katiba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akitoa mapendekezo juu ya
taratibu za kupiga kura katika kufanya marekesho ya kanuni
zitakazotumika katika Bunge Maalum la Katiba, wakati wa Semina ya
Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiwaeleza jambo Waziri wa Fedha Saada Salum Mkuya (katikati) na Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi(Kushoto). Wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.Kushoto ni
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni Mwenyekiti
wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba akitoa mapendekezo
yake kuhusu taratibu za upigaji kura unaoangalia maridhiano ya misingi
ya kidemokrasia .Kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum Prof.
Mark Mwandosya na mbele niMbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa.wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katibaleo Mjini Dodoma. (PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni