Ngoma mpya inayoenda kwa jina la BASI NENDA toka kwa msanii Mo-Music
imesambazwa na
imeanza kuwa gumzo katika vituo mbali mbali vya radio,
Mo-Music ni kijana mwanachuo katika Chuo kikuu cha St Agustine (Nyegezi)
pale jijini Mwanza. Nyimbo hiyo imefanyika katika studio za K records
chini ya mtayarishaji Lolly Pop
artist-Mo-Music
track-Basi nenda
producer-Lolly Pop
artist-Mo-Music
track-Basi nenda
producer-Lolly Pop
0 comments:
Chapisha Maoni