SERIKALI NA FUMBO LA WAKATI UJAO
-
"kama Serikali ingewekeza kutoka chini virabu vya soka nchini visingetumia mamilioni kumsajili Emanuel Okwi"ni kauli ya Mkugurugenzi na msimamizi mkuu wa kituo cha WAKATI UJAO.Hiki ni kituo kinachojishughulisha na kukuza vipaji vya soka toka umri mdogo kabisa ambapo kinaendesha project inayofahamika kama Football Development project .Lengo ni kutafuta na kukuza vipaji vya soka nchini kati ya i wa miaka 15 hadi 17.Katika mahojiano na mwandishi wetu amesema kituo hiko kimefanikiwa kuwatoa wachezaji kama Idrisa Rajabu,Juma Jabu(sure boy),Saimon Msuva na wengine Wengi wanaochezea virabu vya ndani na nje na Timu ya Taifa
Blogger Comment