Dr. Darmaris Ngorosho |
Uwepo wa tekonolojia ya Graphogme
kiswahili (GG)Tanzania umetokana na jitihada za Dr. Damaris Ngorosho,
ambaye kwa ushirikiano na taasisi ya
Niilomaki ya Finland alitengeneza mchezo huo mwaka 2011 na kuanza kutumika
machi 2012 kwenye shule za majengo na kizuiani kama awamu ya kwanza ya
utafiti.
Motokeo ya utafiti yameonekana
kuwa teknolojia hii ina uwezo mkubwa wa kumsaidia motto wa darasa la kwanza
kujifunza kutambua herufi, silabi, maneno na matamshi yake kwa usahihi kwa
haraka sana
bila msaada mkubwa wa mwalimu.
Awamu ya pili ya utafiti
inatarajiwa kuaanza mwezi Julai 2014 ukihusisha mkoa wa pwani, tanga na
Mtwara. Mchezo wa GG unauwezo mkuwa wa
kusaidia pia watoto ambao huonekana ni wazito darasani (slow learners) , pia hata
watu wazima wasiojua kusoma na kuandika
wanaweza kucheza mchezo huu na wakajua kusoma kwa haraka.
Blogger Comment