Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa
pili kushoto), akizindua filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’ iliyoandaliwa na
Lake Zone Youth Empowerment Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media
Tanzania Ltd, katika hafla iliyofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza Jumapili Juni 22.2014. Wanaoshuhudia ni Rais wa Shirikisho la Filamu
Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba (kulia), Rais wa Bongo Movie, Steven Mengele
‘Steve Nyerere (kushoto) na Mwenyekiti wa Chama cha Sanaa za Maonyesho na
Waigizaji Tanzania (TDFAA), Mkoani Mwanza, Anitha Kagemulo (wa pili kushoto). PICHA
NA JOHN BADI wa Daily Mitikasi Blog
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiuhutubia
umati wa wananchi waliofurika katika Uwanja wa CCM Kirumba, baada ya kuzindua filamu
mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’, iliyoandaliwa na Lake Zone Youth Empowerment
Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media Tanzania Ltd, jijini Mwanza Jumapili
Juni 22.2014.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment