Hili lipo ndani ya Banda la TTCL na muhimu kwa kila mtanzania kufika kwa sababu wameboresha huduma kwa jamii ambazo kila Mtanzania anaweza kuzimudi.Maelezo ya huduma yanatolewa bandani hapo pamoja na mauzo ya simu za mkononi,vocha na vifaa mbalimbali kwa bei nafuu zaidi.Viongozi wengi wametembelea na watu mashuuri kujionea huduma na ni washindi wa tuzo sekta ya mawasiliano.
Raisi Mh.Jakaya Mrisho kikwete akitembelea banda la TTCL
Wateja wanao hudhuria maduka ya TTCL
wafanyakazi wa TTCL wakiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura
2.BANDA LA TANGA FRESH
Hili pia ni kampuni yz wazawa ambayo inazalisha maziwa yenye radha halisi na ambayo ni bora zaidi Tanzania.wanapatikana banda la Tanzania RaisMh.Jakaya Mrisho kikwete alikuwepo pale je wewe
Mh.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika Banda la Tanga fresh
Mh.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika Banda la Tanga fresh
Mh.Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika Banda la Tanga fresh
3.BANDA LA VETA
Hiki ni chuo cha ufundi wa fani mbalimbali Tanzania ambacho kimeonesha mafanikio makubwa katika utoaji elimu ya ufindi.kikubwa kutoka kwao Wanatoa elimu ya watu wenye mahitaji muhimu na ni washindi w tuzo
sabasaba kipengere cha kundi la UTOAJI MAFUNZO NA UJUZI karibu ujionee ugunduzi wa Watanzania ndani ya banda la VETA.
RaisMh.Jakaya Mrisho kikwete akiwa na wanafunzi wenye mahitaji maalumu wanaosoma VETA
Mkurugenzi wa VETA akiwa na RaisMh.Jakaya Mrisho kikwete
RaisMh.Jakaya Mrisho kikwete akisalimia na wafanyakazi wa VETA.
4.CHUO CHA MIPANGO DODOMA
Ni chuo ambacho kinawajenga wanafunzi kukalibiana na changamoto ya ajila Tanzania na kuwa wabunifu kulingana na mazingira.Ni chuo bora zaidi Tanzania karibu Banda la Wizara ya Fedha.
GODRICK H.B.NGOLI(Head of Marketing and Public Relation Unit)
5.BANDA LA TACAIDS
Biashara bila afya bora haiwezekani ni vizuri watanzania waketembelea benda hili hili kupata Elimu ya afya.karibu banda la TACAIDS sabasaba kupata habari zaidi
Bi.FATMA MRISHO(mwenyekiti mtendaji tume ya kudhibiti ukimwi)
Banda la TACAIDS
0 comments:
Chapisha Maoni