Bondia bingwa wa mkanda wa WPBF Africa
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akifanya mazoezi ya kupiga beg katika
kambi ya Ilala iliyopo Amana Ccm Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia bingwa wa mkanda wa WPBF Africa Ibrahimu Class
'King Class Mawe' akifanya mazoezi ya kupiga beg katika kambi ya Ilala
iliyopo Amana Ccm Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Lulu Kayage akielekezwa jinsi
ya kupiga upcat na kocha Kondo Nassoro katika mazoezi yanayoendelea
kambi ya Ilala Amana Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class
Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Juma Biglee wakati wa
mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Amana CCM Ilala Dar es salaam
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Juma Biglee kushoto akipambana
na Ibrahimu Class 'King class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea
katika kambi ya Amana Ilala CCM Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
0 comments:
Chapisha Maoni