Mh.AMOS MAKALA naibu Waziri wa Maji.
Wananchi wa Goba wakiongozwa na diwani wa viti maalumu wavamia ofisi za wizara ya maji jijini Dar es Salaam,Wakidai kukerwa na vurugu za mamruki wa chama cha mapinduzi(ccm) na chama cha Demokrasia na maendeleo(chadema) kwa kufanya fujo na kukatisha mkutano wa Naibu waziri wa Maji Mh.AMOS MAKALA na kushindwa kujua mipango ya Serikali katika kutatua kero ya maji.Hata hivyo Naibu Waziri amesema kutokana na tukio hilo atarudia tena kufanya ziara eneo hilo ili kueleza mipango ya serikali katika kutatua kero za maji.
polisi wakiwaingiza baadhi ya watu walioleta fujo ndani ya Gari la polisi
0 comments:
Chapisha Maoni