Ili kufanikisha hilo amewataka viongozi wa Serikali na taasisi binafsi kushirikiana kwa pamoja kuwasaidia wajasiriamali hao ambao anasema uwepo wa nidhamu katika fedha ndiyo njia pekee itakayowafikisha pale waendako.
Mh.MAKAMBA ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Bumbuli mkoani Tanga ameyasema hayo alipohudhuria uzinduzi wa Jumuiya ya kupambana na umaskini wilayani kinondoni jijini Dar es salaam.
Wengine waliohudhuria uzinduzi huo ni pamoja na Diwani wa kata ya Kimara Paschal Manota,Mwenyekiti JUKUKI(Jumuiya ya kupambana na Umaskini Kinondoni) Fatuma Mkambala na Ramadhani Mahugila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo.
Jumla ya vikundi 28 toka maeneo mbalimbali ya wilaya ya kinondoni vyenye wanachama zaidi ya 500 wameshiriki uzinduzi huo na kujifunza mambo na masuala mbalimbali ya ujasiriamali.
Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Mh JANUALY MAKAMBA
Wanachama wa JUKUKI(Jumuiya ya kupambana na Umaskini Kinondoni) wakiwa katika pozi za furaha za ujio wa Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Mh JANUALY MAKAMBA

Wanachama wa JUKUKI(Jumuiya ya kupambana na Umaskini Kinondoni) wakiwa katika pozi za furaha za ujio wa Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri waMawasiliano,Sayansi na Teknolojia Mh JANUALY MAKAMBA
Baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na wanachama wa JUKUKI(Jumuiya ya kupambana na Umaskini Kinondoni)
Wanachama wa JUKUKI(Jumuiya ya kupambana na Umaskini Kinondoni) wakiwa wanamsikiliza kwa makini Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Mh JANUALY MAKAMBA
Msomaji wa Risala ya JUKUKI(Jumuiya ya kupambana na Umaskini Kinondoni) akikabidhi risala kwa Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri waMawasiliano,Sayansi na Teknolojia Mh JANUALY MAKAMBA
Diwani wa kata ya kimara Mh.Paschal Manota
Mmoja wa Viongozi wa JUKUKI(Jumuiya ya kupambana na Umaskini Kinondoni)
0 comments:
Chapisha Maoni