MKUU WA
WILAYA YA LINDI MJINI DOKTA HAMID NASSORO (KATIKATI) AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA
BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI
LINDI, (WAPILI KULIA) NI AFISA MAKOSO WA PSPF RAHMA NGASSA. (KUSHOTO) NI OMARI
KALILO AFISA MFAWIDHI WA PSPF MKOA WA LINDI.
BALOZI
WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA
WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE MAONYESHO
YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDIMENEJA
MIRADI MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MASOUD AKITOA MAELEZO KWA WATU MBALIMBALI
WALIOTEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.
0 comments:
Chapisha Maoni