Aliyekuwa Mtangazaji wa Radio One Omari Katanga leo amejiunga rasmi na 93.7 EFM akifuata nyayo za pacha wake Kitenge . Saa
moja iliyopita EFM katika page yake ya twitter waliandika kuwa
wamemsainisha mtangazaji wa zamani wa Radio One kujiunga na Radio yao.
baada ya siku mbili zilizopita mtangazaji mahiri wa habari za michezo
nchini Maulid Kitenge kujiunga na EFM.
DKT.SLAA APANDISHWA KIZIMBANI
-
*kmonlinetv*
Mwanachana wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt.
Wilbrod Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Saa 4 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni