YANGA YASHUSHA KIFAA KUTOKA LIBERIA KUANZA MAJARIBIO


Mshambuliaji wa Kimataifa wa Liberia, Khap Sean Sherman, (kulia) akiongozana na Meneja wa Yanga, Hafidh Salehe (kushoto) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuanza majaribio tayari kujiunga na Klabu ya Yanga.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List