YSFO(YOUTH FRIEND SERVICES)YAPATIWA MAFUNZO YA UJASILIA MALI NA DOT(DIGITAL OPPORTUNITY TRUST)

Digital Opportunity Trust (DOT) shirika lisilo la kiserikali linaendesha mafunzo ya ujasiriamali na teknolojia yaitwayo ReachUp kwa muda wa mwezi mmoja limetoa mafunzo kwa wakazi wa Kata ya Yombo Vituka kwa Kupitia kituo cha vijana cha Youth friend service ambapo vijana zaidi ya 30 wamepatiwa mafunzo  ya ujasiriamali na teknolojia bure ili kuwawezesha kutambua fursa zilizopo katika mazingira yetu na kujikwamua kwa kuongeza kipato.

Washiriki wa mafunzo hayo wametoa shukrani kwa uongozi wa zahanati na Dot Pamoja na Uongozi wa YFSO kwa kuwaalika katika mafunzo hayo.wamefurahishwa na kuombwa kupewa kipaombele zaidi kwa mafunzo mengine yatakayotolewa na DOT.

Mwenyekiti wa huduma rafiki kwa vijana(YFSO)

Mshiriki akiwasirisha alichojifunza mbele ya washiriki wenzake.

Mshiriki akiwasirisha alichojifunza mbele ya washiriki wenzake.

Mshiriki akiwasirisha alichojifunza mbele ya washiriki wenzake.

Mwenyekiti wa Sirikali ya Mtaa wa Machimbo akitoa vyeti kwa washiriki.

Picha ya Pamoja baada ya kupokea vyeti.

                                   Picha ya Pamoja baada ya kupokea vyeti.

Picha ya Pamoja baada ya kupokea vyeti.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List