BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APOTEZA MCHEZO WA KWANZA NAMIBIA


 mwenye rekodi ya Namibia ni namba moja na Duniani ni namba 76 kwa ubora

mpambano uho uliofanyika march 20 
Windhoek Country Club Resort, Windhoek, Namibia
ulianza kwa kasi ya ajabu ambapo bondia Class alimkalisha chini Indongo na kuhesabiwa na mpambano kuendelea kwa mashambulizi ya zamu kwa zamu kila upande
hata hivyo mpaka mwisho wa mchezo Class alipoteza mpambano uho kwa point

mpambano uhu ni wa pili kwa Class kucheza nje ya nchi baada ya ule wa kwanza kupigana nchini Zambia mwaka jana na kurudi na ubingwa wa WPBF Africa

kabla ya kuchaguliwa kwenda kupigana nchini Namibia Class alimdunda bondia Cosmas Cheka na kunyakuwa mkanda wa U.B.O Africa na kumfanya amiliki mikanda miwili ya Africa mpaka sasa 

mpambano uhu anaupoteza baada ya miaka mitano iliyopita kuwapiga mabondia mbalimbali Class anaenolewa na jopo la makocha linalongozwa na Habibu Kinyogoli 'Masta' Kondo Nassoro pamoja na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye umpa ushauli anapokuwa uringoni jinsi ya kukabiliana na mpinzani anaecheza nae
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List