Rais wa oganaizesheni ya ngumi za
kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang
Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano
wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond
jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa
na kulia ni promota wa mpambano uho Jay Msangi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Wang
Xin Hua kutoka China akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa
--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255713 406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania |
KISARAWE KUKATA KEKI YA BIRTHDAY YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
-
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akizungumza kwenye mkutano na
Waandishi wa Habari hawapo pichani kulia kwake ni Hakimu Mkazi Mkuu
Mfawidhi wa Maha...
Saa 4 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni