Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la
Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Lituhi wilaya ya
Nyasa Mkoani Ruvuma. Rais

Nyasa Mkoani Ruvuma. .Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane
wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo(picha na Freddy Maro)
KISARAWE KUKATA KEKI YA BIRTHDAY YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
-
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akizungumza kwenye mkutano na
Waandishi wa Habari hawapo pichani kulia kwake ni Hakimu Mkazi Mkuu
Mfawidhi wa Maha...
Saa 3 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni