Kanisa la
Anglikana la Yombo Vituka Jijini Dar Es Salaam wakiwa katika Ibada maarumu ya
kuiombea taifa liweze kupata kiongozi mwenye Maono ya kumjuwa Mungu na Wananchi
wake na kuendeleza Amani ya taifa na
upendo kwa Raia bila kujari matabaka.
Ibada hiyo
imeongozwa na Baba Michael Ndawile wa
Kanisa la Angirikana la Yombo Vituka
amesema pamoja na Ibada hiyo ya Maombi ya kuimbea taifa kupata Viongozi
bora ,pia amewataka wananchi wajitokeze kujiandikisha katika Daftari ya Kudumu
la Kupiga Kura siku hikifika waweze kuchagua Viongozi bora.
Kila mmoja kwa nafasi yake Viongozi wa Dini ,Serikali na sekta binafi wote
wakiamasisha wananchi wajitokeze katika zoezi la kujiandikisha kwa
uchaguzi zijazo kuchagua viongozi wa Urais,Ubunge na Udiwani.
Zoezi hilo
la Kujiandikisha likiendelea Jijini Dar Es Salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni