STUART GEORGE MATOLA AKABIDHI FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA

STUART GEORGE MATOLA (MWAIMU) Muhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam DUCE 2015 amerudisha fomu ya kuwania ubunge jimbo la mbagala
STUART GEORGE MATOLA Ameguswa na matatizo ya vijana na jamii inayoishi jimbo la mbagala wako katika halingumu ya maisha ,kiuchumi, huku akisema endapo atachaguliwa ataboresha huduma zote ikiwepo elimu,afya,maji,miundombinu ya barabara,ujasiliamali,vipaji vya wasanii mbali mbali pamoja na kupiga vita uingizaji wa dawa za kulevya na matumizi ya dawa kwa vijana



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List