Wafanya biashara wadogowadogo maarufu kwa jina la
Wamachinga wameiyomba Serikali iwapatie eneo rasmi la kufanyia biashara
zao ,Wamachinga hao wanaongea Baada ya kuondolewa katika eneo walilopewa
eneo la jagwani ,Hali hiyo yakuondolewa Jangwani imewafanya kukosa
amani
AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA
-
📌 *Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote
Kagera kupata umeme wa Gridi*
📌 *Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini U...
Saa 13 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni