Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo ametoa ahadi ya kuboresha biashara ya bodaboda ikiwa atapatiwa nafasi ya kuwa Mbunge.
Mgombea huyo ameonyesha mapenzi yake kwa wafanyabiashara hiyo na kutoa ahadi ya kuwapatia mikopo kwa vikundi hivyo vya Bodaboda na kuwasimamia wasipate kero ya kuendesha shughuli zao.
Pia Katika Hali ya kufurahisha Mgombea ametoa ahadi ya kila kata kupewa millioni kumi ili kwa ajili ya kuanzisha vikundi vya kukopeshana ili kutoa tatizo la umaskini Tanzania.
VERONICA MREMA WA TBN AANDIKA HISTORIA MKUTANO MKUU WA DUNIA WA
WAANDISHI WA SAYANSI
-
Bloga Veronica Mrema mmiliki wa M24Blog akiwa nchini Afrika Kusini .
Pretoria , Affrika Kusini
Kilele cha utambuzi wa Uandishi wa Habari za Kidijital...
Saa 11 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni