Chama cha Usafirishaji Tanzania wameomba Serikali kuangalia sharia Mpya iliyowekwa ya kutoza gharama Za huduma hiyo kwa sababu itachangia kuporomoka kwa Uchumi. Zakaria Hans Pope Rais wa TAT na Stephen Ngatunga Rais TFFA pamoja Faisal Edha, Mkurugenzi Overland Logistics, Omani Kiponza makamu mkt TAT wameongea hayo na mwandishi wa blog hii.
TAT (TRANSPOTERS ASSOCIATION OF TANZANIA)
-
03:34
0 comments:
Chapisha Maoni