Wamiliki wa Magari makubwa nchini yanayofanya safari zake katika nchi za jirani wamewashauri wenzao kuwa makini na kadi feki za kudhibiti magonjwa ya milipuko wakati wa kusafiri nje ya nchi YELLOW CARD na hivyo kusababisha kukosa msaada katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Kusini mwa Afrika SADC na zile za Kibiashara COMESA. Ukamataji huo unaendeshwa na Kampuni inayotoa huduma ya Bima ya Kampuni ya Comesa Yellow Card Tanzania yenye jumla nchi wanachama 13.
KARNE YA AI: 'SADC BADO KUNA PENGO LA MAWASILIANO YA SAYANSI'
-
Na Veronica Mrema - Pretoria
Ulimwengu wa sayansi na teknolojia unasonga kwa kasi ya ajabu. Mataifa
makubwa duniani yanawekeza kwenye ubunifu, utafiti ...
Saa 17 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni