Wananchi washauriwa kuhifadhi fedha zao benki. Wananchi wenye kipato cha chini nchini wameshauriwa kuweka akiba zao katika Benki ambazo hazina makato ya mwezi lengo likiwa ni kuhimiza kuweka akiba. Katika kuhimiza hilo. Benki ya FNB imeandaa mashindano ya kuwasaidia wateja wa kila mwezi kwa mshindi kujinyakulia shilingi milioni tano Ni Mkuu wa Uzalishaji Benki ya FNB Silvest Arumasi ambaye anasema wamejipanga kutoa zawadi hizo, za fedha kwa mshindi
FNB BANK Y
-
09:57
0 comments:
Chapisha Maoni