Wandishi wa habari hao walijikuta wskiwa katika wakati mgumu. Baada ya kuchukuliwa Camera na kuamiliwa kukaa chini ya pamoja na Wananchi Waliokuwa wakipewa adhabu na Kipigo. Ndipo walipompigia simu Rpc wa Pwani naye alitowa ushirikiano bora kwa Wandishi wa Habari kwa kiwasiliana na Askari hao na kuamuliwa warudishe Camera na kuendelea luchukua matukio
Wananchi wapata Kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi Kikosi cha kutuliza ghasia na Mgambo Wilaya ya Bagamoyo kata ya Zinga mkoa Pwani, Askari hao wakiwa na Silaha za Moto na Mabomu ya Machozi huku wakitoa adhabu kwa wananchi na Waandishi wa habari waliofika katika eneo hilo
-
10:04
0 comments:
Chapisha Maoni