Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Yono Auction Mart LTD Stanley Kovela amewataka wafanyakazi wa Yono wawe wahaminifu katika kazi ya Ukusanyaji wa Kodi za Serikali kwakuwa wameaminiwa wanahitaji uwadilifu, wafanye kazi kwa kufata imani na kumtanguliza Mwenyezi Mungu mbele hili wafanikiwe kiutendaji
KAMPUNI YA YONO AUCTION MART LTD TANZANIA WAPATIWA KAZI YA UKUSANYAJI WA KODI YA SERIKALI NCHINI
-
05:11
0 comments:
Chapisha Maoni