Wafanyakazi hao wakiongea na Mwandishi wa Mtandao huu wamesema Mwajiri wao amekuwa akiwanyanyasa na kuwafukuza kazi mara kwa mara bila kufata sheria. Hata hivyo wamekuwa wakiwatumia Jeshi la Polisi kuwatawanyisha kwa Mabomu pia wakiwa wameshika Silaha za Moto jambo hilo limekuwa likiwasikitisha kwa kuwa sio wahalifu wanadai haki, zao. Wameiomba Serikali kuwasaidia kulitatua tatizo hilo. Mwajiri wa Dege eco Village amekataa kutoa Ushirikiano kujibu malalamiko ya Wafanyakazi wao
WAFANYAKAZI WA DEGE ECO VILLAGE KIGAMBONI WAFUKUZWA KAZI NA MWAJIRI
-
11:22
0 comments:
Chapisha Maoni