Waathirika wa dawa za Kulevya waliopata nafuu baada ya kupata Matibabu katika nyumba ya kutoa huduma iliyopo Kigamboni Vijibweni Soba House. Wameiomba Serikali kuwasaidia shughuli, za kufanya baada ya kupata nafuu au kuangalia mitaji kwa kuwa fedha zinazotoka kwenye Halmashauri Mkurugenzi wa Soba hiyo Nuru Sarehe ameiomba Serikali kuwasaidia ili waweze kurudi katika nguvu kazi za kujenga taifa
Waathirika wa Dawa za Kulevya waliopata nafuu baada ya kuacha kutumia
-
07:26
0 comments:
Chapisha Maoni