Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam imeamua kuhakiki upya Idadi ya Wafanyakazi Hewa baada ya kuona Idadi iliyopatikana hailingani na Watumishi waliokuwepo Wilaya ni humo. Ambapo Taarifa za awali kuhusu Watumishi hewa katika Wilaya hiyo zinaoenesha jumla ya Wafanyakazi 13 ndiyo watumishi hewa. zoezi la Uhakiki Temeke linafanyika kwa siku Tano Sophia Mjema Mkuu wa Wilaya ya Temeke ameamua kuhakiki upya Idadi ya Watumishi hewa katika Wilaya hiyo ilikupata uhakika zaidi ya Idadi kamili ya Wafanyakazi katika Wilaya hiyo. Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo amesema Serikali imekuwa ikipoteza Pesa nyingi kwa kuwalipa Watumishi hewa hali hiyo imechangia kurudisha nyuma maendeleo ya taifa . Serikali ya awamu ya Tano imekuwa ikifatilia wafanyakazi hewa hili kuokoa Pesa za Serikali zinazopotea kwa kuwalipa Watumishi hewa . nchini
KISARAWE KUKATA KEKI YA BIRTHDAY YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
-
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akizungumza kwenye mkutano na
Waandishi wa Habari hawapo pichani kulia kwake ni Hakimu Mkazi Mkuu
Mfawidhi wa Maha...
Dakika 11 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni