Chama cha ADC kimepinga agizo la MSAJILI Wa Vyama vya Siasa la kuitaka bodi ya Wadhamini kutengua uamuzi wa kumsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Said Miradi kwa madai ya kukiuka baadhi ya taratibu za katika. Hasani Mohamed Doyo Naibu Katibu Mkuu wa ADC anatoa wito kwa Mwajili wa Vyama vya Siasa kuhusu taratibu za kuwasilisha malalamiko ya Chama ambapo anadai Msajili huyo amekurupuka katika kutoa agizo hilo
DKT. BITEKO ATAKA MITAALA VYUONI IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
-
Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 - 2075)
📌 Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za
jamii
📌 Taasisi za elimu ya juu za...
Saa 13 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni