Tuzo ya ufanyaji Kazi kwa Ubora. Ufanisi maadiri mema ya Utumishi wa Umma. Mwenyekiti wa Bodi Yono action mart Staniley Kevela amesema Yono ni Wakala wa TRA wa Ukusanyaji wa Kodi kazi hiyo wamepewa na Serikali sasa Wana miezi nane wamekusanya Bilion 20 kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali nchini. Ambapo Kodena 329 zilikamatwa Bandarini nazo wamekusanya Bilion 18 lengo nazo zifike Bilion 20. Kevela amesema Tuzo hizo kwa Kampuni ya Yono wamepewa kwa kazi ya Ukusanyaji wa Kodi wamefanya kwa uwadilifu jumla nchi 29 zitashiriki kupewa Tuzo hizo kwa nchi, za Afrika ni Tanzania ikiwakilishwa na Kampuni ya Yono tar 24 hadi 25 Juray mwaka huu
- Blogger Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Inaendeshwa na Blogger.
Wanaofuata
TANGAZO
My Blog List
-
-
SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masum...Miaka 6 iliyopita
-
SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA - Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye kwa sasa anamnowa bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kwa aj...Miaka 6 iliyopita
-
BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE - Na Mwandishi wetu Bondia Ibrahim Makubi yupo kambini kwa ajili ya mazoezi yake ya kumkabili bondia abdallah kingolwira wa ( morogoro ) katika pambano l...Miaka 6 iliyopita
-
JUMA CHOKI AJIANDAA NA MASHINDANO YA KING OF THE RING JULAI 28 - Bondia Ibrahimu Makubi kushoto akioneshana umwamba na Juma Choki wakati wa Mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D iliyopo shule ya Uhuru Kariakoo...Miaka 7 iliyopita
-
0 comments:
Chapisha Maoni