Wajasiliamali wadogo waiomba serikali kurahisisha mzunguko wa fedha ili waweze kujipatia kipato.Pia wameiomba serikali kuboresha mazingira ya kazi zao na miundombinu ili kujiongezea faida katika harakati zao.Wakiongea na MWANDISHI wa blog mafundi ujenzi na wajasiliamali wamesema kwamba hali ya maisha imekuwa ngumu kupitiliza kutokana na watu kutokujenga nyumba na wanunuzi wa bidhaa kutoonekana na kusababisha kuyumba kwa familia na hali ya maisha kutokuwa sawa kabisa.
SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA
ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA
-
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
ambaye kwa sasa anamnowa bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kwa aj...
Miaka 6 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni