Waziri mkuu nchini Tannzania amewapa maafisa wa hifadhi ya wanyagapori nchini humo hadi leo Alhamisi, kueleza aliko faru mweusi maarufu kwa jina John.
Kassim Majaliwa alisema kuwa maafisa hao aidha wotatoa pembe ya faru huyo ikiwa kama amekuafa au waseme aliko.
Faru huyo alitoweka katika mbuga ya taifa miezi mitatu iliyopita. Kuna ripoti kuwa maafisa hao walihusika na kuuzwa kwa John kwa zaidi ya dola 90,000
Idadi ya faru imepungua zaidi nchini Tanzania huku wengi wakiuawa na wawindaji haramu ambao huuza pembe zao kwenda mataifa ya Asia
NGORONGORO LADIES MGUU SAWA MASHINDANO YA SHIMMUTA MOROGORO
-
Timu ya mpira wa Netiboli na mpira wa wavu ya Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro imewasili mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba 2025, imeendelea na
program ya...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni